PROF MUHONGO ACHUKUA FOMU YA KUWANIA UTEUZI WA CCM KWA JIMBO LA MUSOMA VIJIJINI

Jumatano, tarehe 15.7.2020, Ndugu Peter Francis Mashenji,  Katibu wa CCM wa Wilaya ya Musoma Vijijini ALIMKABIDHI Prof Sospeter Muhongo FOMU YA CCM YA UCHAGUZI.
Prof Muhongo akiwa na WASAIDIZI wake 4 (ametekeleza nao Ilani ya CCM ya 2015-2020, kwa muda wa miaka 5), baada ya kuchukua FOMU YA UCHAGUZI (15.7.2020).