MADAKTARI BINGWA WA KUTOKA CHINA KUFANYA MATIBABU MUSOMA VIJIJINI

Tunayo faraja kubwa kwa mara nyingine kukaribisha Madaktari Bingwa kutoka China kufanya matibabu Jimboni mwetu kwa utaratibu huu:

Tarehe 6 & 7 Mei 2017: Zahanati ya Nyambono

Tarehe 8 & 9 Mei 2017: Zahanati ya Kwikuba

TUJITAYARISHE
S Muhongo, Mbunge.