HIGH SCHOOLS ZA MUSOMA VIJIJINI ZINAANZA RASMI MASHINDANO YA MBUNGE WA JIMBO

Lengo la Ushindani:
Uelewa na ufaulu mzuri wa wanafunzi wa "high schools"

Zawadi:
Mbunge wa Jimbo atapanga baada ya kufanya majadiliano na shule hizo (Agosti 2026)

Idadi ya High Schools: 4

1. Kasoma High School
HGL, HKL & HGK
Mitihani ya 2026: Wanafunzi 198
Matokeo yameambatanishwa hapa:
Division I: 182 (91.92%)
Division II: 16 (8.08%)

Ng'ombe mmoja (1) wa kitoweo watapewa Jumamosi ya wiki hii

2. Suguti High School
PCM, PCB, CBG & EGM
Mitihani: 2027
Matokeo: mwakani

3. Mugango High School
CBG & EGM
Mitihani: 2027
Matokeo: mwakani

4. Mtiro High School (mpya)
Tumeomba: masomo ya sayansi
Wanafunzi: "second selection"

Lengo letu:
Musoma Vijijini iwe na "high schools 10" za masomo ya sayansi ifikapo Mwaka 2030

Kiambatanisho:
Matokeo ya Mwaka 2025 ya Kasoma High School

Ofisi ya Mbunge
Jimbo la Musoma Vijijini
www.musomavijijini.or.tz

P. O. Box 6
Musoma

Date: Mon, 6 July 2026