Changia Madawati

KIKAO CHA KUJADILI UCHUMI NA MAENDELEO YA JIMBO LA MUSOMA VIJIJINI

TAREHE: IJUMAA, 23 DESEMBA 2016
RATIBA: SAA 4 – 7 ASUBUHI : MKUTANO WA TATHMINI KIJIJINI MURANGI
SAA 9 – 10 JIONI : KUKABIDHI VIFAA VYA MATIBABU KUTOKA AUSTRALIA KWENYE ZAHANATI YA MURANGI
WALENGWA: WAKAZI, WAZALIWA NA VIONGOZI WA JIMBO
KUJIANDIKISHA: KATIBU: LILIAN,
SIMU: 0754300001,
EMAIL: info@musomavijijini.or.tz,maonoblessing15@gmail.com