SARUJI MIFUKO 50 KUTOKA NYASANHO FOUNDATION

Mapokezi ya saruji mifuko 50 kutoka Nyasanho Foundation ilipokelewa hapa s/M BUSUMI B Musoma DC. Hatua zake za ujenzi wa darasa moja lengwa lenye msingi wa lenta. Pia ujenzi unaenda sambamba na madarasa 2 na ofisi ya wananchi. Hiyo ni hatua hadi tarehe ya leo (18/09/2026).

Tunatarajia mwezi  huu(September 2026) mwishoni kuendeleza maboma yakamilike.

By Alex M Duke. M/mkuu