USHINDI WA KUFANIKISHA MRADI WA BOMBA LA MAFUTA

USHINDI WA KUFANIKISHA MRADI WA BOMBA LA MAFUTA

Mwaka 2016, Kampala, Uganda: Picha ya ushindi wa kufanikisha Mradi wa Bomba la Mafuta kutoka Uganda kuja Tanzania (EACOP). Timu ya ushindi ya Tanzania iliongozwa na Prof Sospeter Muhongo, Waziri wa Nishati na Madini.