MAFANIKIO YA UTEKELEZAJI WA ILANI YA UCHAGUZI YA CCM

*Mafanikio ya Utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM ya Miaka Mitano (2020-2025) ndani ya Jimbo la Musoma Vijijini

Wiki ijayo: Vikao Maalum vya CCM Wilaya
1. Halmashauri Kuu ya Wilaya
2. Mkutano Mkuu wa Wilaya

Vikundi vinavyojitayarisha kutoa burudani:

1. Zeze ya Kata ya Bukima
2. Lirandi la Kata ya Bugwema
3. Kiwajaki ya Kata ya Kiriba
4. Washika Jembe ya Kata ya Tegeruka

Vikundi vya Nyimbo:
5. Kwaya ya Kata ya Bugoji
6. Wande Group ya Kata ya Tegeruka

Matayarisho yanaendelea....
*Vitabu (Volumes III, IV, V na VI) vimechapishwa na vinagawiwa bure

*Vipeperushi vinatayarishwa, mfano mmoja umeambatanishwa hapa

Tarehe zitatolewa Jumatatu baada ya Mbunge kujipanga kwenye shughuli za Bunge la Bajeti

Sospeter Muhongo (Mb)
Dodoma
Jumamosi, 14 Juni 2025